Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

Kwanza nianze na kukupa makavu katika ID zenye tabia mbaya Ni yako hii unapenda sana kutoa dislike hata kwa comment isiyokirihisha mi nilikuwa sikajui hako kakitufe mpk siku moja uliponipa,na Mimi nimekupa hatimaye,,
Inaonekana mapito yako yanakufanya utupe dislike ovyoovyo tu,,( kananiboa hako kaemoji kananiogopesha sikapendi kabisaa kapo kama kashetani, jf wakatoe jamani wengine sie Ni waoga balaa)

Tukirudi kwenye mada yako, nakupa pole na pongezi ya kumlea ndugu yako, mtafute mtu aliye kwenye dawati la ustawi wa jamii, akusaidie kuwabana baba wa hao watoto wawajibike katika malezi ili kukupunguzia mzigo,, vilevile mtafutia mdogo wako biashara ya kufanya walaua aingize chochote kitu wakati huohuo umpeleke hospital aanze uzazi wa mpango kama mbishi mzunguke aanze kutumia uzazi wa mpango tafuta nesi amzuge kaugonjwa ili amchome sindano ya uzazi mchezo unaishia hapo
Kanapatikana wapi jamani hako kadislike [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kanapatikana wapi jamani hako kadislike [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama unatumia app huwezi kukaona, tumia browser halafu press and hold mahala pa thanks zitatokea emoji tofauti tofauti utakaona ka dislike mwishoni 😂😂aise alinipa bhana aliniudhi sana alinivurugia mudi kabisa, nikasoma ile comment wala sikuona ubaya wake, nikapitia na wengine nikaona nao kawapa nikajua atakuwa na msongo wa mawazo huyu dogo, na akija hapa atatembeza vidislike vyake, nitakachofanya Ni kumlamba ignore,
 
maumivu ya dada yanaumiza sana, haswa akiharibikiwa namna hiyo mara 2...... huzuni uliyonayo ni kubwa sana mkuu pole....sisi wenye dada tunaelewa kuanguka kwao kunavyotupa maumivu......
 
Nachoshauri aende zahanaati ya karibu yoyote akaweke njia ya uzazi wa mpango kwa sbb ataendelea kuzaa na hana kidhibiti. Ili sasa afanye hata vibarua
 
Nenda clouds muone Dr.Isack Maro anaweza MPA kampani watz wakamchangia japo mtaji wa vutumbua tu
 
Kuwa makini basi hata kidogo kaka, yani kijana mwenzio anahitaji msaada na wewe unaamua kuuliza swali kama hili?
Ndugu humu kuna wavuta bangi na mateja kwahiyo nikuwavumilia tu, hajui mpaka mwenzake kufikia kuweka hadharani hivi ameumia kiasi gani. Lakini Kwa kuwa yeye Yuko Kwa shemeji na ameshamaliza kukatia ng'ombe majani anaona Maisha kayamaliza.
 
Poleni sana

ndugu zenu upande wa Baba au Mama wako wapi.?

walau mjishkize kuishi kwao?.
 
Back
Top Bottom