monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Bado analima mbonaDogo fala sana, kwa namna alivyoaminiwa na jamaa angekuwa tajiri mkubwa sana leo. Akaleta ukengeufu.
Ila nae kigwa alifeli sana kufanya recruitment ya mtu kumsaidia kusimamia shughuli za shamba. Uzoefu wake kama kiongozi haukuwa na tija kabisa.
Ila afahamu kuvunjika kwa mpini sio mwisho kulima. Mashamba yapo arejee tuendeleze kilimo.
Badae alikuja kumuweka mdogo wake wa kike nae akampiga tena
Lakini mbona masanja anasimamia mdogo wake wa kike na anasimamia vizuri tu