Anayotendewa mtu mweusi Israel

Status
Not open for further replies.
Mmmh link hamna Labda jaribu Tena ku edit post yako
Shikamoo
 
<iframe width="560" height="315" src="YouTube" title="YouTube video player" frameborder="0" allow="accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture" allowfullscreen></iframe>
Hata wewe ni mtu mweusi lakini huwapendi wayahudi kwahiyo sioni sababu ya myahudi kumpenda mtu ambaye haaminiki.

Nimewahi kumsikiliza Myahudi kuhusu mahusiano yao na watu weusi hasa Marekani.

Akasema, mwanzoni walikuwa wanachukulia watu weusi kama ndugu hasa kutokana na historia zao za mateso ya utumwa kufanana.

Mahusiano hao yalianza kupungua nguvu kutokana na wimbi la kukua kwa uislam kwenye neighbourhoods za watu weusi.

Mwisho wa siku ni watu weusi wenyewe kujiangalia ni vipi wasimame kwasababu wanapitia magumu duniani kote.
 
Andiko hili limechochewa na hisia za kidini zilizojaa unafiki kwa sababu watu weusi wanafanyiwa "Persecution" duniani kote.
 
Hata wewe ni mtu mweusi lakini huwapendi wayahudi kwahiyo sioni sababu ya myahudi kumpenda mtu ambaye haaminiki..
Shida Ukiingia Katika dini ile unasistizwa Adui yako mkubwa ni MAYAUDI NA MANASWALA...taratibu unaanza kujenga chuki kwa watu hao bila sababu ya msingi.

2016... Wamatumbia wa Africa ya magharibi walikuwa wanataka kuvuka boda kwa nguvu (bila VISA) kwa dhumni la kwenda kujiripua ili kuitetea palestina.
 
Yes, tatizo linaanzia hapo. Ndio maana kuna msemo kuwa dini haijawahi kutatua mgogoro wa aina yoyote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…