Anazimia tu wakati wa majamboz!

Anazimia tu wakati wa majamboz!

IRAQW MINING

Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
86
Reaction score
6
Jaman kunarafiki yangu moja alikuja kuniomba ushauri kwn anadai kuwa kila aki sex na girlfrnd wake inafikia wkt anazimia,ikishatokea hali hiyo jamaa anampepea mpaka anakuwa sawa! Jaman kma kuna anayefaham namna ya kumsaidia huyu jamaa tunakaribisha maoni yako.
 
waende kwa daktari kwa ushauri. Wasione noma kwani cku inaweza kutokea akazimika moja kwa moja. So ni vema akamuona daktari kwa tatzo hilo.
 
Mpeleke Samunge Loliondo kwa "BABU"akapata angalau kikombe kwani one day siyo atakuwa anazimia bali itakuwa mada. Atazimika fluu!!
 
Pole sana kwa huyo Jamaa na Shem wetu pia,
Inawezekana huyo Shemeji huwa anapata Raha inayopitiliza hadi kufikia kuzimia!
Inachotakiwa kwa huyo Jamaa ni kumjenga ki-saikolojia lakini vema zaidi jamaa akaenda kwa watu wanaoweza kumpa counseling ili wamjenge kuwastahimili hiyo RAHA inayopitiliza hadi Shem Kuzimia!!!
 
pengine Mungu hapendi azini.wafunge ndoa afu waone kama itaendelea.
 
Jamaa yangu huyu ameniambia kuwa huyo mpenz wake anazimia wakt yeye ana-pz sasa ni suala la kitaalam zaid au ni raha tu zinamzid huyu shem wetu?
 
huyo binti lazima ana jini chakubanga, hebu mpeleke baharini akapige kikombe cha maji chumvi, utaona kama atazimia tena.
 
huyo binti lazima ana jini chakubanga, hebu mpeleke baharini akapige kikombe cha maji chumvi, utaona kama atazimia tena.
Dah! We ni mjukuu wa Shehe Yahya?
 
it sounds like she experiences an intense orgasm!
 
hahahaha!! katika medical Industry kuna kitu tunakiita La Petit Morte (Orgasm 'Little death') The term has generally been interpreted to describe the post-orgasmic fainting spells or unconsciousness some lovers experience.

Mentioned briefly in Jean Rhys 'Wide Sargasso Sea' as Rochester talks of his sexual relationship with his new wife.

"Then try, try, say die and watch me die.' 'Die then! Die! I watched her die many times"


it happens after orgasms wsichana tofauti wana experience tofauti nilisoma publication on Pub Med baadhi ya wasichana wanapata tunnel vision, and feel dizzy for a couple of seconds then tunnel vision goes then dizzyness goes then they just feel all tingly and warm.

Man physiology ya sex ukiingalia inatisha moja ya signature yangu hapo chini inaonesha hivi (Do you know what the human body goes through when you have sex? Pupils dilate, arteries constrict, core temperature rises, heart races, blood pressure skyrockets, respiration becomes rapid and shallow, the brain fires bursts of electrical impulses from nowhere to nowhere, and secretions spit out of every gland, and the muscles tense and spasm like you're lifting three times your body weight. It's violent. It's ugly. And it's messy) anything can happen during sex!! Death, kwenda Unconscious , heart attack etcl...

ushauri wangu ajaribu siku bila kumpeleka orgasm huyu patner wake if she wont be knocked out unconscious then itakuwa ni jambo la kawaida kama story hiyo hapo juu niliyokupa about La Petit Morte, kama akiwa knocked out without going orgasm then nenda kamuone dactari

 
Back
Top Bottom