IRAQW MINING
Member
- Apr 18, 2011
- 86
- 6
Jaman kunarafiki yangu moja alikuja kuniomba ushauri kwn anadai kuwa kila aki sex na girlfrnd wake inafikia wkt anazimia,ikishatokea hali hiyo jamaa anampepea mpaka anakuwa sawa! Jaman kma kuna anayefaham namna ya kumsaidia huyu jamaa tunakaribisha maoni yako.