ANC maji ya shingo. Lumumba twendeni tukaokoe Chama rafiki

ANC maji ya shingo. Lumumba twendeni tukaokoe Chama rafiki

establishment

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
1,671
Reaction score
2,560
Uchaguzi SA umekaribia ila Chama rafiki hali ni tete. Twendeni tukawadhibiti Vyama pinzani. Twendeni na masanduku ya kura tusaidie wapigania uhuru wa ANC kushinda kwa kishindo.

RIP Chivayo.
 

Attachments

  • Screenshot_20261018_145244_Instagram.jpg
    Screenshot_20261018_145244_Instagram.jpg
    81.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20261018_150646_Instagram.jpg
    Screenshot_20261018_150646_Instagram.jpg
    183.9 KB · Views: 6
ANC wako kama huyu jamaa
 

Attachments

  • 163cb2862fce1ee6b419a0f3dc072a35.mp4
    925 KB
ANC ishindwe na vyama vya kuja, hilo sahau kabisa maana hakuna Hilo jambo. ANC na CCM ni vyama imara na vya milele barani Afrika
 
ANC ishindwe na vyama vya kuja, hilo sahau kabisa maana hakuna Hilo jambo. ANC na CCM ni vyama imara na vya milele barani Afrika
Mbona uchaguzi uliopita ilibidi waombe msaada wa vyama vya wazungu maana hawakuwa na udhibiti bungeni.
 
Back
Top Bottom