establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,671
- 2,560
Uchaguzi SA umakaribia ola Chama rafiki hali ni tete. Twendeni tukawadhibiti Vyama pinzani
Kwa mtazamo wako ni vyama vya mileleANC ishindwe na vyama vya kuja, hilo sahau kabisa maana hakuna Hilo jambo. ANC na CCM ni vyama imara na vya milele barani Afrika
labda kushinda mavi kwa wenye akili mavi.ANC itashinda.
Mbona uchaguzi uliopita ilibidi waombe msaada wa vyama vya wazungu maana hawakuwa na udhibiti bungeni.ANC ishindwe na vyama vya kuja, hilo sahau kabisa maana hakuna Hilo jambo. ANC na CCM ni vyama imara na vya milele barani Afrika
Unadhani kule ni kama huku kuzimu ambako mnajikadiria matokeo.ANC itashinda.
ANC ishindwe na vyama vya kuja, hilo sahau kabisa maana hakuna Hilo jambo. ANC na CCM ni vyama imara na vya milele barani Afrika
Kuzimu kuna utaratibu ,huku ni jalalani kiongozi kila mbwa koko anajiokoteaUnadhani kule ni kama huku kuzimu amabako mnajikadiria matokeo.
Kweli kabisa. Yani mtu anaamka asubuhi anadai wapiga kura milioni 31 walimpigia kura kweli?Kuzimu kuna utaratibu ,huku ni jalalani kiongozi kila mbwa koko anajiokotea
Kwani Uchaguzi Mkuu wa huko uko mbali?Unadhani kule ni kama huku kuzimu ambako mnajikadiria matokeo.