Sio wabongo maana Hamna elimu hapa zaidi ya kugundua vichaa tu kwa kila Mtanzania MmojaWana geologist njooni mtusaidie, maana hadi hapa sijaelewa kama lava huwa inapoa na mwanadamu anaweza kukanyaga bila madhala yoyote.
Napata utata wa nafasi ya Mungu katika Uumbaji ...!!
Sayansi imejiweka thabit kuonyesha usahihi wa uumbaji,
Japo ....!!
Kwahiyo wanasayansi wanataka kutuaminisha kwamba hayo madubwana ya kale yalikuwa yana uwezo wa kutembea juu ya ujiuji wa volkano bila kuungua?
Moja kati ya swali zuri sana, mi huwa naangaliga tu, ipo siku watagundua kwamba hao viumbe walikuwa erupted pamoja na hiyo volcano, ila tuwaache tu waendelee kufanya excavations tanzanite ikiisha wataondoka wenyewe,Kwahiyo wanasayansi wanataka kutuaminisha kwamba hayo madubwana ya kale yalikuwa yana uwezo wa kutembea juu ya ujiuji wa volkano bila kuungua?
cc: KirangaNapata utata wa nafasi ya Mungu katika Uumbaji ...!!
Sayansi imejiweka thabit kuonyesha usahihi wa uumbaji,
Japo ....!!
Pole sana, Mungu alishaumba na kumaliza kazi yake, sayansi inatafiti kazi za Mungu kama muumbaji na mwanasayansi wa kwanza, Na kwa taarifa yako huwezi kumtafuta Mungu katika kitu alichokiumba kwa sababu hakai hapo, Japo anaweza kukaa hapo akitaka.Napata utata wa nafasi ya Mungu katika Uumbaji ...!!
Sayansi imejiweka thabit kuonyesha usahihi wa uumbaji,
Japo ....!!
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Pole sana, Mungu alishaumba na kumaliza kazi yake, sayansi inatafiti kazi za Mungu kama muumbaji na mwanasayansi wa kwanza, Na kwa taarifa yako huwezi kumtafuta Mungu katika kitu alichokiumba kwa sababu hakai hapo, Japo anaweza kukaa hapo akitaka.
TAFITI ZA WANADAMU NI ZA KAZI ILIYOPO TAYARI.
Nadhani hapo hiyo Lava haikuwa ya moto bali ni majivu yaliyopoa tu, na inaonekana hayo majivu yalinyeshewa na mvua na yakawa kama tope vile, kwa hiyo hao Binadamu walikanyaga wakati hiyo Lava Ash ikiwa kwenye hiyo hali ya utopetope, kisha inaonekana hizo foot print zilibaki hapo baada ya hiyo lava Ash kukauka na kisha zikafunikwa labda na ash zingine au mchanga?Wana geologist njooni mtusaidie, maana hadi hapa sijaelewa kama lava huwa inapoa na mwanadamu anaweza kukanyaga bila madhala yoyote.
Umri wa hzo nyayo (19,000 yrs uliotajwa) unakinzana na uhalisia kwamba walikuwa wanatembea juu ya ujiuji wa volcano maana katika miaka hyo hakuna mlipuko uliotokea kwenye Oldonyo Lengai kusababisha ujiuji wa moto. Nakubaliana na fikra zao kwamba nyayo hzo zilikuwa kwenye tope litokanalo na mafuriko ya maji na si volcano.Kwahiyo wanasayansi wanataka kutuaminisha kwamba hayo madubwana ya kale yalikuwa yana uwezo wa kutembea juu ya ujiuji wa volkano bila kuungua?
Inabidi ufahamu sababu zao walizotoa za kwanini viumbe vingine vilipotea kabisa na vingine kubaki..Mimi swali langu nauliza ,hao watu wasayansi kwa nini wanasema kuna viumbe vimetoweka duniani na hapo hapo kuna viumbe vyengine vimebadilika kutoka hali moja kwenda nyengine na kwa nini hali hiyo ya kubadilika haiendelei .sisimizi ageuke kuwa ng'ombe.
Kuna anaweza kukanyaga
Mudflats in the shadow of the Ol Doinyo Lengai volcano captured a huge trove of ancient human footprints.
Swali jengine hivyo viumbe vilivyogunduliwa nyayo zao walikuwa hawana hisia,namaanisha hawakuogopa kuungua na volcanic lava?Inabidi ufahamu sababu zao walizotoa za kwanini viumbe vingine vilipotea kabisa na vingine kubaki..
Mfano kwa sasa duniani kuna viumbe wengi ambao wako kwenye hatari ya kupotea kutokana na kuwindwa au kuathiriwa na shughuli za binadamu, mfano faru weusi na Tembo ambao inakadiriwa baada ya miaka 20 kama hali itaendelea kuna uwezekano tembo wakapotea kabisa.
Vile viumbe vilivyopotea vilipotea kqa sababu nyingi kwa mfano Ice age