Andaa bajeti ya duka la milioni moja kwenye mtaa wa walalahoi unaotazamana na kilabu cha pombe kilichoko mjini

Andaa bajeti ya duka la milioni moja kwenye mtaa wa walalahoi unaotazamana na kilabu cha pombe kilichoko mjini

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Imagine unaishi mjini halafu unataka kuanzisha duka ambalo Lina frem tayari Ila duka Hilo linatazamana na kilabu cha pombe za kienyeji japo cha kisasa Ila wewe una mtaji wa milioni moja hebu sema utanunua vitu gani?

Ambavyo unadhani piga ua hapo lazima vinunuliwe Ila pia kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda pembeni.
 
Gongo, bangi, balimi, vumbi la Congo na ulanzi.
 
Mtaa wa walala hoi + bodaboda + kilabu cha pombe.

1. Chakula - mazao ya nafaka kama mchele, unga (wote) alaf sukari na v2 vdg vdg vya mahitaji ya nyumbn.
Hiyo ni kwaajili ya walala hoi wa kitaa icho Apo tayari utakua umewateka.

2. Soft drinks, pombe mf bia, nyagi ndogo na alcoholic drinks nyingine alafa usisahau na energy drinks zote
Bidhaa hizo ni kwaajili ya wanyaji pamoja na maboda walio jirani.

NB: uwe na fridge Mzee wadau wengi wanapend vinywaji vikiwa baridiiii na ela ikibaki kidogo unaweza anzisha maakuli mfano supu kwa asubuh na chapati.
 
Back
Top Bottom