Mtaa wa walala hoi + bodaboda + kilabu cha pombe.
1. Chakula - mazao ya nafaka kama mchele, unga (wote) alaf sukari na v2 vdg vdg vya mahitaji ya nyumbn.
Hiyo ni kwaajili ya walala hoi wa kitaa icho Apo tayari utakua umewateka.
2. Soft drinks, pombe mf bia, nyagi ndogo na alcoholic drinks nyingine alafa usisahau na energy drinks zote
Bidhaa hizo ni kwaajili ya wanyaji pamoja na maboda walio jirani.
NB: uwe na fridge Mzee wadau wengi wanapend vinywaji vikiwa baridiiii na ela ikibaki kidogo unaweza anzisha maakuli mfano supu kwa asubuh na chapati.