Andaa chakula cha fasta! Fasta!

Andaa chakula cha fasta! Fasta!

We ameline!ndiyo nini kunitoa udenda hivyo?hiki chakula si fasta tu bali kinatia heshima mdomoni!santeee!
 
Nashukuru Kama upo arusha, nenda Rushda supermarket, au shoprite,.. maeneo mengine kwakweil mi mgeni
aaaaaaaaaah!nimejaribu haya mapishi nimeishia kuunguza sufuria yangu!!!yaani hapa nafikiria namna ya kuanza kuisugua!!ila chakula kiko bomba!!!
 
aaaaaaaaaah!nimejaribu haya mapishi nimeishia kuunguza sufuria yangu!!!yaani hapa nafikiria namna ya kuanza kuisugua!!ila chakula kiko bomba!!!

jamani, pole sana sana,. lakini huo ni mwanzo tu, ukijaribu tena siku nyingine kitakua perfect zaid na zaidi,.just try again in the other day, best of luck
 
kingasti i second yu kwenye mlo wa fasta!
yani spaghetti mi zinaweza kuota tumboni i see!loh!
i love tht makitu!
yani naweza kujichelewesha bure tu nyumbani ili nikifika niwashe jiko nipike spagheti!mi huwa nazipika hivo thn kwenye setting sasa kama muda upo naweza kupitisha jani la spinach kwenye maji ya vugu vugu thn natandika kwenye sahani thn naweka hiyo makitu mezani!siku nikipika ntaweka picha !uuwih! NJAAAA! banaa!
 
Last edited by a moderator:
ameline wewe ni chef? inaonekana hii fani ya kukaangiza unaimudu haswa. Hongera kwa ujuzi wa mambo ya maakuli
 
Last edited by a moderator:
Owh nice...hongera mpenzi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mpaka leo namsubiri snowhite aje aweke picha hapa ya spagheti zilizotandzwa kwenye jani la spinach!
 
Last edited by a moderator:
safi sana mate yananidondoka tu hapa nyamu nyamu!!!!
 
Mi chakula cha fasta ni boflo kwa mayai ya macho.

Au chips na mayai/sausages
 
Back
Top Bottom