Andaa chakula cha fasta! Fasta!

Andaa chakula cha fasta! Fasta!

Asante emeline,je hii chicken masala ya sanfaz naipata wap hapa mjini?
hii Avator nashindwa kuelewa mawazo yako yalikuwepo wapi wakati unaichagua!
halafu ndo ukute we ndo boss wa mtu hapo kazini kwenu!
 
Uwasilishaji umetulia,picha ya kila step,inafanya mtu unaelewa somo kwa haraka.

Safi sanaa... hadi mate yamejaa mdomoni ....njaaa inaniuma kwa kasi nawaza pakupata firigisi now now. Asante Ameline
 
Hongera sana kwa kweli chakul kizur na presentation nzur huwez kusoma ukaacha kumaliza.
 
Hahahaha amelin unajua mzuzu?wew mchaga

hahaha kabisaaa wala hujakosea..mkulima mzuri sana wa mzuzu mimi..kumbe mzuzu ni kichaga? ooh gosh! sijui kiswahili yake jamani niambie
 
Chakula kitamu sana (japo ndizi fried, mmh! Ningezibwaga kwenye oven nikazisahau). Nimependa presentation yako, inavutia haswaa. Hapa naskia harufu kabisaa. Asante sana.

Chakula changu cha fasta ni spaghetti (zile nyembambaaaaa kama mchele) kwa nyama ya kusaga. Ama na combinenga ya sausage. Kuna smoked sausage, nazikata kimshazari hivi. Nakaanga kitunguu, followed by nyanya then sausage. Pembeni sufuria yenye mafuta nusu kijiko, naweka tambi na kuzitoss kidogo. Naweka maji ya moto kidogo sana na kufunika.

Baada ya dk tano naweka rojo ya sausage kwenye tamvi na kuvuruga kwa dakika chache. Matango ya kurashia, violaaaa!

Hii dish haichukui dk 20 kama unatumia.majiko mawili (namaanisha plates mbili)


Asante King'asti. Hiki ndicho chakula ambacho huwa nawatayarishia wageni/marafiki kwa urahisi rahisi, asante kwa kushare!
 
Nimeongeza jambo kwenye mautundu yangu.....kesho naingia jikon then nilaleta feedback
 
Mhandisi Mzalendo wapi iyo chakula? ameline safi sana izo firigisi za kuku wa kienyeji au kizungu?yani ktk mboga zangu samaki na kuku hakosekan home na sausages

napataje soseji za songea zile????ule utamu sijawai zisahau hasilan
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom