Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa kutoka Club ya soka ya Yanga inaeleza kwamba, timu hiyo imemsajili Aziz Andambwile ili kumrithi Aziz Ki, anayetajwa kuondoka baada ya mkataba wake kumalizika na huku Yanga ikishindwa masharti ya mkataba mpya, kutokana na umasikini.
Tumtakia kila la heri Aziz huyu mpya anayeingia kukipiga yanga.