Andambwile amrithi Aziz Ki Yanga

Andambwile amrithi Aziz Ki Yanga

View attachment 3037549

Taarifa kutoka Club ya soka ya Yanga inaeleza kwamba, timu hiyo imemsajili Aziz Andambwile ili kumrithi Aziz Ki, anayetajwa kuondoka baada ya mkataba wake kumalizika na huku Yanga ikishindwa masharti ya mkataba mpya, kutokana na umasikini.

Tumtakia kila la heri Aziz huyu mpya anayeingia kukipiga yanga.
Bavicha!!!
 
Attachments

  • 20240709_151729.jpg
    20240709_151729.jpg
    133.9 KB · Views: 2
View attachment 3037549

Taarifa kutoka Club ya soka ya Yanga inaeleza kwamba, timu hiyo imemsajili Aziz Andambwile ili kumrithi Aziz Ki, anayetajwa kuondoka baada ya mkataba wake kumalizika na huku Yanga ikishindwa masharti ya mkataba mpya, kutokana na umasikini.

Tumtakia kila la heri Aziz huyu mpya anayeingia kukipiga yanga.
Aisee....
 
Kwaiyo nafasi anayocheza Aziz ki ndiyo anayocheza andambwile mpaka awe mrithi wake?
 
Uko sahihi. Jamaa mjanja mjanja Sana. Anatafuta pa kupigia hela. Baadae atakuja aseme ilikuwa kazi ngumu kumbakisha Ki. Tumetumia zaidi ya 1b kumbakisha kumbe ni 300ml.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mangungu alikuwa mbunge lakini sasa ni kiongozi wa simba, vivyo hivyo Aden Rage, kwanini mimi mnanipangia majukwaa?
Hao uliowataja wote ni watoto wa mjini, wewe huku unapuyanga tu labda kwenye jukwaa la kilimo ukatupe fursa za Ubaruku.
 
Back
Top Bottom