Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Anayeuzwa ni Ki au Andambwile? Maana Ki ni wa kuondoka bureTaarifa kutoka Club ya soka ya Yanga inaeleza kwamba, timu hiyo imemsajili Aziz Andambwile ili kumrithi Aziz Ki, anayetajwa kuuzwa.
Tumtakia kila la heri Aziz huyu mpya anayeingia kukipiga yanga.
basi tuseme Ki anaondoka bure, na kwa vile mashabiki wa Yanga wanapenda jina la Aziz ndio maana kaletwa Aziz AndambwileAnayeuzwa ni Ki au Andambwile? Maana Ki ni wa kuondoka bure
Kutegemea tajiri mmoja kulipa kila kitu ni shida, akinuna tu imekula kwenuDaaaa Key ameondoka bureeeee
Be ndeuli hilo jina la kwetu kule!View attachment 3037549
Taarifa kutoka Club ya soka ya Yanga inaeleza kwamba, timu hiyo imemsajili Aziz Andambwile ili kumrithi Aziz Ki, anayetajwa kuuzwa.
Tumtakia kila la heri Aziz huyu mpya anayeingia kukipiga yanga.
Ni kweli. Huyu anatupanga ili akitangaza kumbakiza, tusahau kuhusu ujenzi wa stadiumAziz hajauzwa, kama kauzwa hakukuwa na haja ya hizi figisu, now hersi anatengeneza tatizo ili lije limpe mileage.
Uko sahihi. Jamaa mjanja mjanja Sana. Anatafuta pa kupigia hela. Baadae atakuja aseme ilikuwa kazi ngumu kumbakisha Ki. Tumetumia zaidi ya 1b kumbakisha kumbe ni 300ml.Aziz hajauzwa, kama kauzwa hakukuwa na haja ya hizi figisu, now hersi anatengeneza tatizo ili lije limpe mileage.
Timu za Simba na Yanga hazina hata Akaunti BenkiUko sahihi. Jamaa mjanja mjanja Sana. Anatafuta pa kupigia hela. Baadae atakuja aseme ilikuwa kazi ngumu kumbakisha Ki. Tumetumia zaidi ya 1b kumbakisha kumbe ni 300ml.
Una uhakika Mkuu dili na siasa huku una zingua tu ππTimu za Simba na Yanga hazina hata Akaunti Benki
Naunga mkono hojaRudi kweny siasa,uku unapuyanga
Bilion 20 za MO ziliwekwa kwenye akaunti ipi? uliwahi kuona viongozi wakionyesha akaunti ya Timu, tumebishana miaka mingapi?Una uhakika Mkuu dili na siasa huku una zingua tu ππ