simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Upinzani Zanzibar Kupoteza brand name/recognition ie CUF ni pigo kubwa. Sadly ndani ya ACT, upinzani Zanzibar is playing second fiddle.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamad massoud mkuu hizi ndo hasira zake baada kuukosa uenyekitiAwali ya yote Maandishi anasemekana ni mmoja ya vijana wa Makonda ambao walikua wakitumiwa kuteka na kupoteza Watanzania. Maaruf wakijulikana kama Wasiojulikana.
Huko nyuma wakiwa CUF akijjita ati msaidizi wa Maalim Seif wakati uongo. Nafasi ya Makamo wa Rais Zanzibar ni ya Kikatiba Hakuna mrithi hayuna utawala wa Kifalme. Hivo maalim hakua na mrithi wa nafasi hio. Maalim , Duni na Wazee wengine wakati wakiwa SMZ waliandaa program ya kuwandaa vijana kuwa viongozi na wanasiasa wazuri. Hawa ni pamoja na Othman.
Duni ndie aliemfuata Othman kukubali uteuzi wa ACT kuwa Makamo wa Rais. Alichaguliwa kwa sababu ni Mzalendo hasa wa Zanzibar , ni mpenda maendeleo ni Msomi wa hali ya juu na ana uzoefu wa kutosha katika shughuli za kiserikali. Na juu ya yote ni Kijana ambaye ni Asset ya chama.
Hata sisi tuliokua nje ya Chama tuliwashauri nafasi hio apewe Othman. Uchaguzi wa Duni ulikua wa wazi pale mlimani sote tulikuwepo na kura zilikua huru za wazi. Wagombea walifanya mdahalo na kura ikapigwa na kila mmoja alikua na msimamizi wake wa kusimamia hesabu ya kura.
Duni aliibuka mshindi kwa kura nyingi na sio kwa sababu ya Zitto. Duni anakubalika na kujulikana Tanzania Bara na pia Unguja na Pemba.
Hamad anajulikana zaidi Jimboni kwake Pemba. Zitto ni Mwanasisa kijana ambaye ameonesha kutokua na uroho wa madaraka. Kwake ni kuona Act inakomaa na inasonga mbele cheo kwake sio muhimu. Uchaguzi wa 2020 tayari alikua 40 yrs lakini hakutaka kogombea akamtumia Membe naye akakaa pembeni.
Tunafahamu Anderson ni pandikizi la ccm na ni mmoja wa wasio julikana. Alitumika katika propaganda kuivunja CUF. Alikua akitumiaa na Ccm na Lipumba kuimaliza Cuf.
Alishtukiwa wakati wa kupandisha tanga kulekea ACT sasa milango imefungwa amebaki kubweka kama mbwa koko
Ni mjinga kwelikweli, anachekacheka wakati wanaambiwa ishu ya maana kwamba sisi wabara tunamjua Zitto wao wasimkubali kirahisi atawaharibia siasa yao kule.Na mtaendelea kukoloniwa na tanganyika hadi mwisho kwa huu utahira wenu
Yu havu a point mkuuKuna Watu wanatumia nguvu na muda mwingi kutuambia fulani na fulani hawafai badala ya kutuambiwa kwanini wao wanafaa