Anderson Ndambo: Zitto ni mamluki wa CCM anaitumia ACT na Zanzibar kwa malengo binafsi

Upinzani Zanzibar Kupoteza brand name/recognition ie CUF ni pigo kubwa. Sadly ndani ya ACT, upinzani Zanzibar is playing second fiddle.
 
Hamad massoud mkuu hizi ndo hasira zake baada kuukosa uenyekiti
 
Na mtaendelea kukoloniwa na tanganyika hadi mwisho kwa huu utahira wenu
Ni mjinga kwelikweli, anachekacheka wakati wanaambiwa ishu ya maana kwamba sisi wabara tunamjua Zitto wao wasimkubali kirahisi atawaharibia siasa yao kule.

Tunafahamu sana watu wa visiwani hawana siasa za kishenzi na Zitto anawahadaa walidhani ACT ni chama Bora kumbe wanajimaliza na CCM itaendelea kuwatawala, na uwepo wa CCM ndio mwiba kwenye ustawi wa jamii.

Sasa huyu mjinga anakuja n kukenua meno eti mambo yao tuyaache, sisi hatuna shida Ila tayari wameanza kugeukana.

Anapokuwepo Zitto Kama mna mipango yenu mkimbieni huyo ni pandikizi mpya wa serikali ya CCM. Wameshamtumia Mrema, Marando, Slaa, Lipumba sasa wamebaki na Zitto huyu bingwa toka tupo nae chuo kikuu anajulikana sana upande aliopo sio wa kumuamini hata kidogo.

Zitto na Msando ni kitu kimoja wao siasa yao huwa haieleweki ni malayamalaya wa kisiasa. Sasa wazanzibari wasipotusikiliza shauri zao na siasa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…