Andika chakula ukipendacho na sisi tukijue

Andika chakula ukipendacho na sisi tukijue

Roast ya maini na chapati ya kusukuma iliyochambuka na juice ya passion huwa inafuta dhambi zangu na nahisi nafsi yangu inaenda peponi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Wewe usiniambie unajiskiaje
 
Ugali kitimoto hakuna anaepiga hiyo kitu 😋

Kwa junk food ni pizza🍕 yaani i can literally kill for a slice of pizza
 
Mbalaga(ndizi)

Hizi upikwa kwa mchanganyiko wa
[emoji117]nyama&utumbo
[emoji117]nazi&karanga
[emoji117]pilipil ya kunukia na kuwasha kwa mbaaaali
[emoji117]njegere

Then zikiwa kwenye sahani kubwaa zikifuka moshi wenye harufu taamu kwa kusindikizwa na juisi moja saaaafi ya bariiidiiiiiiiiii ama mirinda nyeusi ikikosekana pepsi ya bariiidi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Aloo hii kitu ni nomaa mwanamke akipatia kupika hii kitu nitaoa kwa mahali apendayo yeye na chenji abaki nayo[emoji28]
 
Back
Top Bottom