Andika chakula ukipendacho na sisi tukijue

Andika chakula ukipendacho na sisi tukijue

Ndizi zile za moshi ziwekwe nyama ya kutosha plus nazi, naimaliza siku vizuri sana. Wali maharage/chapati na roast nyama hapa pia nafsi huburidika .
Machalari oyeeee 🔥
 
Ugali, maharage,samaki,kachumbari
 
Ndio ..... fake, umelenga mule mule😂

Utaje chakula chako basi nikijue
Nimetaja.
Makange ya kuku + ndizi 2 mzuzu uloiva kidogo.
Shushia na wine kidogo aaah
 
Back
Top Bottom