Andika chakula ukipendacho na sisi tukijue

Andika chakula ukipendacho na sisi tukijue

Wali nazi samaki sato/ changu iwe na nazi pia. Ujue kupika na nazi vizuri daaah.
 
Maharage ya kukata, choroko maua,mbaazi za kidogo zile mchuzi mweupe, kababu, mseto ,biryani, ugali na samaki wa bahari
 
Nyama ya Kuku inaenda kwa chochote,

Wali, Kisamvu kiwekwe karanga na nazi na kichanganywe na utumbo,

Uwiiiii this weekend acha niuburudishe Moyo na Kisamvu
 
Back
Top Bottom