Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,066
Hao dagaa Wamekaangwa vizuri dah[emoji39][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao dagaa Wamekaangwa vizuri dah[emoji39][emoji39]
Hizo nazi ziko triple threat si balaaBwabwa nazi,kitoga nazi na kisamvu nazi!!! Jioni upikwe mwingi ili asubuhi tuamkie nao wa chai
Hivi junk food maana yake nini?Ugali kitimoto hakuna anaepiga hiyo kitu 😋
Kwa junk food ni pizza🍕 yaani i can literally kill for a slice of pizza
Wooow.Mbalaga(ndizi)
Hizi upikwa kwa mchanganyiko wa
[emoji117]nyama&utumbo
[emoji117]nazi&karanga
[emoji117]pilipil ya kunukia na kuwasha kwa mbaaaali
[emoji117]njegere
Then zikiwa kwenye sahani kubwaa zikifuka moshi wenye harufu taamu kwa kusindikizwa na juisi moja saaaafi ya bariiidiiiiiiiiii ama mirinda nyeusi ikikosekana pepsi ya bariiidi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Aloo hii kitu ni nomaa mwanamke akipatia kupika hii kitu nitaoa kwa mahali apendayo yeye na chenji abaki nayo[emoji28]