Andika comment iliyotolewa na mwana JF ikakufurahisha na kukuchekesha sana

Andika comment iliyotolewa na mwana JF ikakufurahisha na kukuchekesha sana

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
The heading above is concerned.

Najua ktk interactions zetu humu jf, kuna comments ambazo ulishawah kukutana nazo na zikakuchekesha na kukufurahisha sana..

Em tiririka na sisi tupate furaha.. Unaweza kuandika comment yenyewe. Siyo lazima iwe na maneno yale yale aliyoandika mhusika, unaweza andika kwa maneno yako lakini isipoteze maana iliyokua imekusudiwa. Km unamkumbuka aliyetoa comment hiyo unaweza mtaja pia.

Mimi kuna jamaa anayejiita 'ibanga' alishawah comment kuwa, "kuwa na rafiki wa kike ni sawa na kuutumia muwa km mkwaju, mwisho wa siku utaugeukia na kuula tu". Comment hii ilinifurahisha na kuiacha siku yangu ikiwa saaafi kabisa..

Nikikumbuka zingine nitaendelea kupost..
. Em toa zako
 
nimekosea kutuma meseji za whatsap za mchepuko kwa mke wangu-jamaa akajibu hivi

'chukua kitambaa laiin kiloweke kwenye maji ya vuguvugu kisha futa taratibu"

kwa miaka hiyo ulikua ukisha tuma kitu huwezi kukifuta
 
remix Nandy mwaka bilonasi

bilinas: Subakheri mpenzi walionaje geto langu?

Nandy :Subakheri laazii geto lako kama langu

bilnas:wawaoaje wazazi hawajaona chupi lako

Mandy :kawanusuru mwenyezi hawajaona boksa lako
 
Haha.. Alitisha sana
 
Haha el leta uzi walipo comment hivi
 
Huyu ni Form Six,, Nadhani alikua anasoma Arts so kamaliza mitihani asaiv,, So sishangai sana...
 
Back
Top Bottom