Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
The heading above is concerned.
Najua ktk interactions zetu humu jf, kuna comments ambazo ulishawah kukutana nazo na zikakuchekesha na kukufurahisha sana..
Em tiririka na sisi tupate furaha.. Unaweza kuandika comment yenyewe. Siyo lazima iwe na maneno yale yale aliyoandika mhusika, unaweza andika kwa maneno yako lakini isipoteze maana iliyokua imekusudiwa. Km unamkumbuka aliyetoa comment hiyo unaweza mtaja pia.
Mimi kuna jamaa anayejiita 'ibanga' alishawah comment kuwa, "kuwa na rafiki wa kike ni sawa na kuutumia muwa km mkwaju, mwisho wa siku utaugeukia na kuula tu". Comment hii ilinifurahisha na kuiacha siku yangu ikiwa saaafi kabisa..
Nikikumbuka zingine nitaendelea kupost..
. Em toa zako