Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mimi nimeshaacha wosia kabisa nikifa nichomwe moto.kaburi siliweziHofu yangu ni kifo
Pale nimeshaingizwa kaburini na kufukiwa na kuachwa peke yangu tu
Mungu wangu naomba unipe mwisho ulio mwema [emoji120][emoji120]
PoleAhsante babe wacha tu ajali isikie kwa jilani yako.. the moment mtu uliyekua umekaa nae unamuona kafa ghafla
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ahsante babe
Hivi tukifa eti tunaenda kuishi maisha mengine dunia nyingine?Nakopa kuzikwa asee.. nikifikiria joto la kwenye geto kaburi na kuoza stimu zinaisha mwenyewe najipeleka Kanisani
Kumbe tupo wengi yaan nikiona mtu kafa najiuliza mim ni nanii jamani ,wakifa wa karibu ndio nachizika aiseeHofu yangu ni kifo
Pale nimeshaingizwa kaburini na kufukiwa na kuachwa peke yangu tu
Mungu wangu naomba unipe mwisho ulio mwema [emoji120][emoji120]
Ahahhaahha kwani unahisi kaburini utajijua ama?Mimi nimeshaacha wosia kabisa nikifa nichomwe moto.kaburi siliwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwili wako mama Sabrina utaoza na kubaki mifupa tuu wadudu watajizolea wowowo lako wawezavyo maana asili ya mwili ni mavumbi.. ila roho yako itaenda ilikotoka maana yenyewe asili yake si mavumbi.. Itaenda kwa Mungu kupewa tuzo points kama iliishi kadri atakvyo muumba kama iliishi kinyume itapewa tuzo pia ya kuteketezwa kwenye mateso. .
Basi hiki kitu kinatisha jamani,,mi naoma tunavyoishi duniani na haya haya maisha yetu ya kuunga unga naona raha kweli
Jamani tupeane hata maneno ya kujifariji jamaniMwili wako mama Sabrina utaoza na kubaki mifupa tuu wadudu watajizolea wowowo lako wawezavyo maana asili ya mwili ni mavumbi.. ila roho yako itaenda ilikotoka maana yenyewe asili yake si mavumbi.. Itaenda kwa Mungu kupewa tuzo points kama iliishi kadri atakvyo muumba kama iliishi kinyume itapewa tuzo pia ya kuteketezwa kwenye mateso. .
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Unaogopa nini
Kashatoa brideprice lakini
daaaah acha tu ...sometimes uoga unakuwa ni how u wil die.... usingizini....kwa mateso....kwa kuumwa ghafla....Basi hiki kitu kinatisha jamani,,mi naoma tunavyoishi duniani na haya haya maisha yetu ya kuunga unga naona raha kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah.. acha tu yanUnaogopa nini
Mi naogopa kuikosa pumzi yangu jamani nikipumua nasikia raha kweli eti kuna siku sitapumua kweliii
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app