Andika Jina la mtu yoyote maarufu ambaye hujui historia yake, wanaomjua wakwambie ni wapi alipo na anafanya nini

Mada inajieleza,
Kuna watu waliwahi kukonga mioyo ya watu na baadae historia zao na zikapotea bila kujua ni wapi walipo mimi naanza na hawa jamaa.

1. PIERE LIQUID, mlevi maalufu aliejipatia umaarufu kupitia unywaji wake na sauti ya yake ya "mama nakufa"

2. FUTURE JNL, msanii wa mwanza kijana machachali aliekuwa anavuma kwa nyimbo na sauti nzuri huku akitengeneza machupa (video kali kuliko hata mastar) saiz hata instagram yake hana post yoyote na hayupo active mda mrefu.

3. HERI MUZIKI, Kijana aliyekuwa na sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni, aliemteka mwanadada maarufu Diva the bowse kipind hiko akiwa cloud fm. Saizi insta nae hapost chochote.

4. AMBARUTY, Huyu malkia wa porn tanzania mama wa buza kwa mpalax.

Kwa yeyote anaejua hawa walipo atujulishe pia kama na wewe unae mtu hujui alipo weka hapa.
Kuna siku nilisoma post ya Amber Ruty alikuwa anatoa ushauri kwa mabinti nilicheka sana... pamoja na mambo mengine alishauri mabinti watulie hakuna haja ya kuwa na wanaume wengi badala yake wapige kazi na kujitafutia Mb** zao 2 au 3 za kuwaliwaza.
 
Yupo keko machungwa pale ni fundi fenicha ukienda unamkuta anauza fenicha ndio professional yake kuchonga na kuuza fenicha za majumbani,hio ya salaa udaku tu
Labda awe ameacha kazi jumatatu hii.
Lakini Piere liquid ni mfanyakazi wa Silent Ocean nenda pale kwenye Ofisi zao pembeni ya kioo limited utamkuta.
Jioni saa 11 ukikaa getini atatoka.
 
Msanii Sajina,
Kuna Mtangazaji anaitwa Sebastian (Seba),
Msanii Ismail, pamoja na Zembwela wa zamani akiwa East Africa Radio, acha wa sasa yule chawa wa Wasafi fm. Nataka kujua hawa watu wako wapi!
huyu seba ndo yule aliekuwa hii radio ya nabii richaed mwacha wakati inaanza nini manake simsikii tena.
 
Mada inajieleza,
Kuna watu waliwahi kukonga mioyo ya watu na baadae historia zao na zikapotea bila kujua ni wapi walipo mimi naanza na hawa jamaa.

1. PIERE LIQUID, mlevi maalufu aliejipatia umaarufu kupitia unywaji wake na sauti ya yake ya "mama nakufa"

2. FUTURE JNL, msanii wa mwanza kijana machachali aliekuwa anavuma kwa nyimbo na sauti nzuri huku akitengeneza machupa (video kali kuliko hata mastar) saiz hata instagram yake hana post yoyote na hayupo active mda mrefu.

3. HERI MUZIKI, Kijana aliyekuwa na sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni, aliemteka mwanadada maarufu Diva the bowse kipind hiko akiwa cloud fm. Saizi insta nae hapost chochote.

4. AMBARUTY, Huyu malkia wa porn tanzania mama wa buza kwa mpalax.

Kwa yeyote anaejua hawa walipo atujulishe pia kama na wewe unae mtu hujui alipo weka hapa.
Amberuty daily yupo Instagram anapost msambwanda wake huko,na huwa na tunachart fresh tuu ila tatizo lake anaomba hela huyo,Piere Liquid kuna wakati nilisikia hayupo njema kiafya
 
Aliumwa sana mpaka akapewaga hi fadhi nyumbani kwa yule dada mmiliki
Wa bar ile ,labda kama sahv afya yake itakuwa imekaa sawa
Na naona sahv hapigi pombe za sifa

Ova
 
Mada inajieleza,
Kuna watu waliwahi kukonga mioyo ya watu na baadae historia zao na zikapotea bila kujua ni wapi walipo mimi naanza na hawa jamaa.

1. PIERE LIQUID, mlevi maalufu aliejipatia umaarufu kupitia unywaji wake na sauti ya yake ya "mama nakufa"

2. FUTURE JNL, msanii wa mwanza kijana machachali aliekuwa anavuma kwa nyimbo na sauti nzuri huku akitengeneza machupa (video kali kuliko hata mastar) saiz hata instagram yake hana post yoyote na hayupo active mda mrefu.

3. HERI MUZIKI, Kijana aliyekuwa na sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni, aliemteka mwanadada maarufu Diva the bowse kipind hiko akiwa cloud fm. Saizi insta nae hapost chochote.

4. AMBARUTY, Huyu malkia wa porn tanzania mama wa buza kwa mpalax.

Kwa yeyote anaejua hawa walipo atujulishe pia kama na wewe unae mtu hujui alipo weka hapa.
1. Mtangazaji Ahmed Kipozi pamoja na watoto wake waliokuwa wanajulikana kama "UNIQUE SISTERS

2. Mtangazaji Masoud Masoud
 
Massoud Massoud yupo TBC na chai zake ana kipindi Jumamosi na Jumapili alfajiri kumi na moja na robo
 
Mada inajieleza,
Kuna watu waliwahi kukonga mioyo ya watu na baadae historia zao na zikapotea bila kujua ni wapi walipo mimi naanza na hawa jamaa.

1. PIERE LIQUID, mlevi maalufu aliejipatia umaarufu kupitia unywaji wake na sauti ya yake ya "mama nakufa"

2. FUTURE JNL, msanii wa mwanza kijana machachali aliekuwa anavuma kwa nyimbo na sauti nzuri huku akitengeneza machupa (video kali kuliko hata mastar) saiz hata instagram yake hana post yoyote na hayupo active mda mrefu.

3. HERI MUZIKI, Kijana aliyekuwa na sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni, aliemteka mwanadada maarufu Diva the bowse kipind hiko akiwa cloud fm. Saizi insta nae hapost chochote.

4. AMBARUTY, Huyu malkia wa porn tanzania mama wa buza kwa mpalax.

Kwa yeyote anaejua hawa walipo atujulishe pia kama na wewe unae mtu hujui alipo weka hapa.
Wapo kwao.
 
Back
Top Bottom