Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nimepata kazi ya asubuhi....ndio maana
Ningebarikiwa kukwepa umande, wallah ningetafuna totoz humu kwa nyumba. Maana huku Ushirombo haukuna neno ngumu kama kusema NO, then utaulizwa WHY..... hapo sasa ndipo ugumu wa lugha ya bepari ndipo unaanzia kwenyeku EXPLAIN.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Oouh hapo nakupata Amigo.... nikajua mwenzangu un'gen'ge unapanda wewe.
Hili jina lako linatamkwaje?
Hapo akisema WHY kakubali unamshika mkono nyumbani haraka ashalegea.Ningebarikiwa kukwepa umande, wallah ningetafuna totoz humu kwa nyumba. Maana huku Ushirombo haukuna neno ngumu kama kusema NO, then utaulizwa WHY..... hapo sasa ndipo ugumu wa lugha ya bepari ndipo unaanzia kwenyeku EXPLAIN.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
SawaNdio maana naunga mkono hoja....tehteehh
ππππππ Angalia usijitafune ulimi tu!!!rekwel dishi...
Amigo.....Hapo akisema WHY kakubali unamshika mkono nyumbani haraka ashalegea.