Andika jinsi unavyolitamka kimoyomoyo jina la member wa JF.

Oouh hapo nakupata Amigo.... nikajua mwenzangu un'gen'ge unapanda wewe.
Ningebarikiwa kukwepa umande, wallah ningetafuna totoz humu kwa nyumba. Maana huku Ushirombo haukuna neno ngumu kama kusema NO, then utaulizwa WHY..... hapo sasa ndipo ugumu wa lugha ya bepari ndipo unaanzia kwenyeku EXPLAIN.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hapo akisema WHY kakubali unamshika mkono nyumbani haraka ashalegea.
 
Back
Top Bottom