Andika Kwa kifupi tu utaeleweka sio Kila saa unaandika mada ndefu kupita kiasi kama makala na vitabu

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Kila unapoandika hu🙂wezi kuandika kwa ufupi kwa sababu wewe ni mwandishi. Sijui kama ni tabia ya waandishi wengi, lakini wengine hata ukiwauliza jambo dogo tu, jibu linakuwa kama makala nzima! Mimi binafsi napenda watu wanaoweza kueleza jambo kwa kifupi na kueleweka. Ukiandika ujumbe jf wa kawaida halafu unafika maneno 2,000, hapo mawasiliano yanakuwa kazi nyingine kabisa.
 
Pascal Mayalla Kuna ujumbe wako hapa.
 
Back
Top Bottom