Ndio but whyHalafu jua hatuwezi kufanana
Pascal Mayalla Kuna ujumbe wako hapa.Kila unapoandika hu🙂wezi kuandika kwa ufupi kwa sababu wewe ni mwandishi. Sijui kama ni tabia ya waandishi wengi, lakini wengine hata ukiwauliza jambo dogo tu, jibu linakuwa kama makala nzima! Mimi binafsi napenda watu wanaoweza kueleza jambo kwa kifupi na kueleweka. Ukiandika ujumbe jf wa kawaida halafu unafika maneno 2,000, hapo mawasiliano yanakuwa kazi nyingine kabisa.
😂 Why PascalPascal Mayalla Kuna ujumbe wako hapa.
Umerusha jiwe gizani, Kiranga kawasha taa wote tuone linapoelekea.😂 Why Pascal
NoKuna wanaopenda kusoma makala ndefu.
Kuna AI siku hizi ,copy ipaste kwenye AI ikupe kwa kifupi.
Ongezea na yule Mtibeli sijui aaaarrghMkuu suala siyo urefu wa makala , issue ni nani kaandika?
Mwingine akiandika kitu hakichoshi kusoma hata kama andiko ni refu mfano
Pascal Mayalla
Mshana Jr
Halafu jua hatuwezi kufanana
Hujaona mabandiko yake?😂 Why Pascal
Wapo wengi mkuu ila huyu atakuwa Mmoja waoHujaona mabandiko yake?
Huwa anajiwahi mwenyewe kutoa angalizo kwamba andiko ni refu kama Tolstoy anaandika "War and Peace".