Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Andika utabiri wako kipi hasa kinaenda kutokea kuanzia Sasa hadi mwaka 2030.
Mipango bila pesa ni kelele tu mkuu 😀Nitakuwa na mihela mingi sana, afya yangu ya akili na mwili vitaimarika mara dufu yasasa...😁
Ni sign yangu hiyo hivyo tuliza komwe mkuu najua nachokifanyaMipango bila pesa ni kelele tu mkuu 😀
nitamuoa dada wa mtoa uziAndika utabiri wako kipi hasa kinaenda kutokea kuanzia Sasa hadi mwaka 2030.
In 2030
I will be one of the greatest Man in this WORLD MY NAME WILL SOUND TEST FULL LIKE MONEY AND MONEY WILL BE ME AND ME I WILL BE MONEY .
PRIVET JET