Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
Kikundu au?Mm niko kalibu na k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikundu au?Mm niko kalibu na k
Mjinga uliezoea kutapeliwa, na utatapeliwa kweli. Pole yakoMasikini wa akili unaforce undugu ili utapeli watu
Unahatarisha maisha yako kijanaMjinga uliezoea kutapeliwa, na utatapeliwa kweli. Pole yako
Inaonesha umetapeliwa sana, kuwa makini tena....huo ndo ushauri wangu, povu zako kafulie nguoUnahatarisha maisha yako kijana
Poa poa dada anguInaonesha umetapeliwa sana, kuwa makini tena....huo ndo ushauri wangu, povu zako kafulie nguo
OhoooNipo na mzee kwa kipara ka sola panel ikulu magogoni hapa
Unaogopa nini, kwani ww ni muhalifu, au ni miongoni mwa wanaotoa majibu makali na/au matusi, kwa mambo ya kawaida?Umetumwa nenda kwaambia umetukosa
Unatoa papa kwa masela au sio?Nipo mkoa wa GIGY MONEY mtaa wa NAMPA PAPA
Nasubiri kupewa papa
Undugu huku JF??? Kwani hauna namba za sim za ndugu zako hadi uje kuwatafuta Huku. Basi poa sio mbaya sana Mimi nipo Darful Sudani hapa [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Undugu tu.
Hahahahaa ndio undugu wenyewe mkuu. Tayari nina mwenyeji Darful . Kwema lakini?Undugu huku JF??? Kwani hauna namba za sim za ndugu zako hadi uje kuwatafuta Huku. Basi poa sio mbaya sana Mimi nipo Darful Sudani hapa [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]