Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Niko shinyanga maeneo ya muheza kwa mbele kama unaelekea same ukikata kulia eneo linaitwa chalinze hapohapo ulizia mtaa unaitwa Lindi utakua umenipata
 
Undugu huku JF??? Kwani hauna namba za sim za ndugu zako hadi uje kuwatafuta Huku. Basi poa sio mbaya sana Mimi nipo Darful Sudani hapa [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Hahahahaa ndio undugu wenyewe mkuu. Tayari nina mwenyeji Darful . Kwema lakini?
 
Back
Top Bottom