Baba musa333
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 423
- 238
Hapa amani ni 0.5% Handbags za huku ni bunduki tuu, Ukitaka kusafiri tegea basi la jeshi likikuacha ndo basi tena, kupigana ni kama salamu tu na ukitaka Mawasiliano unaingia JF, kumwomba Mungu huku ni 100% Maana kufa kupo njenje lkn si wabish tunakomaaHahahahaa ndio undugu wenyewe mkuu. Tayari nina mwenyeji Darful . Kwema lakini?
hajakuja aisee, am off here...[emoji125][emoji125]Hahaa. Haya Kaka tusubiri.
Hii ndio ile mitaa ya uongo,haya, sasa Ngojea majirani zako wa uongo watakuja sasa hivi.Niko shinyanga maeneo ya muheza kwa mbele kama unaelekea same ukikata kulia eneo linaitwa chalinze hapohapo ulizia mtaa unaitwa Lindi utakua umenipata
nipo mjinin Nairobi karibu na uwanja wa kasaraniiiMimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Huo mguno veepeee
Nitembelee ipogolo. Gangilonga kwa Msigwa?Nipo gangilonga