Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Hahahahaa ndio undugu wenyewe mkuu. Tayari nina mwenyeji Darful . Kwema lakini?
Hapa amani ni 0.5% Handbags za huku ni bunduki tuu, Ukitaka kusafiri tegea basi la jeshi likikuacha ndo basi tena, kupigana ni kama salamu tu na ukitaka Mawasiliano unaingia JF, kumwomba Mungu huku ni 100% Maana kufa kupo njenje lkn si wabish tunakomaa
Sirudiiii!!!!!!!
 
Niko shinyanga maeneo ya muheza kwa mbele kama unaelekea same ukikata kulia eneo linaitwa chalinze hapohapo ulizia mtaa unaitwa Lindi utakua umenipata
Hii ndio ile mitaa ya uongo,haya, sasa Ngojea majirani zako wa uongo watakuja sasa hivi.
 
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
nipo mjinin Nairobi karibu na uwanja wa kasaraniii
 
Nipo Ipogolo stand. Ukivuka hilo daraja duka la kwanza kushoto karibu na muuza vitunguu.
Jina langu Mfugale Kinyamagoha.
 
Back
Top Bottom