Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

msema kweli ni mpenzi
wa mungu

Siwezi kudanganya,nipo hapa DDC- Kariakoo,jirani na hizi pool table; napata kitu roho inataka..
 
sasa kapanic kwavityu vidogo ..stress zakuunguza AC hizo
Wakati hata hajalazimishwa kuchangia.Pia hajui CHITCHAT ni jukwaa la aina gani,sisi anaotuona tuna IQ ndogo hapa ndio alitusifia tuna IQ kubwa Jukwaa la Intelligence na la Education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…