Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kapanic kwavityu vidogo ..stress zakuunguza AC hizoMkuu me nawewe tushamalizana hivyo usinilazimishe kukujibu hapa
mkuu ukonga haupo.Mkuu hata mimi sina makazi maarufu..Saivi nipo UBUNGO
Wakati hata hajalazimishwa kuchangia.Pia hajui CHITCHAT ni jukwaa la aina gani,sisi anaotuona tuna IQ ndogo hapa ndio alitusifia tuna IQ kubwa Jukwaa la Intelligence na la Educationsasa kapanic kwavityu vidogo ..stress zakuunguza AC hizo
oohh sawasawa..naona umeikwepa foleni ..!!?Mimi UKONGA ndio damu damu ila sasa nilikuja kumpokea Mgeni UBUNGO ndio narudi nae home.Nipo hapa Vingunguti sasa
haya safari iwe njemaHee mkuu siunajua tena
Na wewe usinijibu [emoji111] [emoji111]Mkuu me nawewe tushamalizana hivyo usinilazimishe kukujibu hapa
nipo mkuumkuu umepotea sanaa
Mbona bado wanijibu mkuu?Haya sasa futa comments zako zote ulizozituma hapa na mimi nafuta zozote nilizokujibu
Ahaa.Mda ule nilikuwa nshapita nikafika hadi shuleni kwenu nikashuka kile kimwinuko nikaelekea KONA nikashuka hapo then nikaenda PUGU KIRUMBA