Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ulihama kwa mtogole!? Mie niko huku mfaranyaki ulanzi pumzi yako na mahindi ya kuchoma na kuchemsha pia firigisi za kukaanga za kuku wa kienyeji.
Manjilinji nilikuja kumsalinia mjomba Christmas, ninasubiri nauli nirudi Kwamtogole
 
Reactions: BAK
Hivi ni kweli anayeogopa police ni mwalifu? Ufafanuzi tafadhali kabla sijaanza kuamini hii kauli.
 
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Wewe jamaa haujulikani unatafuta watu wasiojulikana ili mjuane inakuwaje hapo. Usiombe kukutana na watu wasiojulikana!!!!
 
naitwa uncle magu-mashi naishi hapa karibu na pale bomba la muhimbili linapoingilia baharini na kijijini kwetu ni kule kwenye mataa ya kuongozea punda a.k.a chatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…