Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

kaka mi nimesema naitwa uncle magumashi, sasa ni rais wa wapi huyo anayeitwa magumashi?, mi nazani wewe ndio unayemlinganisha huyo rais na mimi, alafu inatakiwa ujue kua mimi humu situmii utambulisho wa uongo hivyo kama unahisi nimevunja sheria be free kufata taratibu sahii
 
Acha kuchezea watawala utapotea dogo
 
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Potea mpuuzi wewe!
 
Wewe askar kanzu tumekshtukiaaaaaa hiii no chitchat mkuuu
 
Humpati mtu wako kwa njia hii. Hao wanaowakosoeni hawapo kijinga hivyo. Nikikujua iwe nini??
 
Mtaa wa kwa fundi mkuu unapajua? jirani na kwa fundi mkuu msaidizi hapa
 
Kwa mafundi wangu wakuu wawili ninaowakubali ile kimori hatari . Salam deeeemiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom