Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uncle magu ni nani?ndugu husinitafutie baraa mimi bure, ni wapi nilipomtaja rais au kujifananisha nae?, na ni rais yupi huyo unayemtaja wewe?
Acha kuchezea watawala utapotea dogokaka mi nimesema naitwa uncle magumashi, sasa ni rais wa wapi huyo anayeitwa magumashi?, mi nazani wewe ndio unayemlinganisha huyo rais na mimi, alafu inatakiwa ujue kua mimi humu situmii utambulisho wa uongo hivyo kama unahisi nimevunja sheria be free kufata taratibu sahii
kamwe siwagi na hofu hasa pale ninapihisi kua sijakosea. hakuna mtu mwenye hatimiliki wa haya majina, sasa we ndio kama unanienichagulia jina haya.Acha kuchezea watawala utapotea dogo
Potea mpuuzi wewe!Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Wewe askar kanzu tumekshtukiaaaaaa hiii no chitchat mkuuuMimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Swali linaenda kwa nani mkuu?Mtaa wa kwa fundi mkuu unapajua? jirani na kwa fundi mkuu msaidizi hapa
Hahaha kweliHahahahahaaaa.
Hiyo sura ya Joseverest usitarajie akutajie mtaa anaoishi
Sio kimboo?Nakalia kigogo kwa nyuma[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wakishapata majina watataka na kuzisoma [HASHTAG]#nyota[/HASHTAG] sasa.Mwishowe mtataka na majina yetu