Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Duh kweli babu
 
Mi nipo nwakasalampandagalo mkoa wa bantalemulogahafya wilaya ya masampulilawekerequeha!
 
Kwa hiyo ukitujua unafaidika nini. Humu marufuku kujuana kawaambie waliokutuma kuwa hatuna mpango wa kujuana. Kamtafuteni aliyempiga lissu na azory, saaanane warudishwe.
Ovyo sana, tujuane ili iweje.
punguza povu Lisu akirudi waliomshughulikia watapatikana cha msingi yeye na dereva wake watoe ushirikiano tu.Hao akina saa 8 na azory issue zao zinashughulikiwa.
 
Back
Top Bottom