MuoneeeMkuu ina maana hujui kuwa ameoa??![emoji53][emoji53][emoji53]
KhaaaaKummiss mume wa mtu ni tabia mbaya![emoji53][emoji53]
Surpriseunapenda nini jomoni?[emoji53][emoji53][emoji53]
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Nipo hapahapa magogoni, nimekuona,Nipo magogoni.