munyambo p
Senior Member
- Aug 18, 2017
- 172
- 166
Kigali/Rwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitaa cha kwa Temba.. Nipo karibu na hostel za kamplaMimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Za karibu na road aloo.. Wenyewe wanaziita green houseMkuu kumbe wewe jirani yangu.Hostel za karibu na SAVANNA pub au kule karibu na road?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe California nao wanatumia TECNO-Y4?
Mkuu na Mm nipo Markaz karibu na Savana BarMimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo