Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Kitaa cha kwa Temba.. Nipo karibu na hostel za kampla
 
Mimi npo Tabata bima karibu na ofisi za halotel.

Mara nyingi usiku huwa nakaa maeneo ya 40 40
 
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Mkuu na Mm nipo Markaz karibu na Savana Bar
 
Hii ni kwa hisani ya TISS aka watu wasiojulikana.....cjui wanataka kutujengea nyumba ama wanaangalia namna ya kutupatia noah zetu feki...
HAMUMPATI M2 HAPA KENGE NYIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…