Jirani na Nyambulikano?Ibizabageni sengerema!!!!!!!
Mwisho wa lami ushapita?Saivi nimesogea nipo Pugu Kona
Hawezi ujua huyo. Ila mdogo wangu huyu atakuwa na lake sio bure.Dada mtaa wetu wa Namtumbo ataujua kweli[emoji14] [emoji14]
Jamaaani kaka. Kiporo tena?Heee dada sema ulikua hujui tu""""njoo hapa nshakuagizia nyama ya mbuzi choma na kiporo
Kweli kabisa.Hawezi ujua huyo. Ila mdogo wangu huyu atakuwa na lake sio bure.
Sikujua kama ndio unaishi huko nikija huko tena ntakushtuaUngenishtua ingependeza maana huku mtu akija arudiii
Watafuta free P haoMwishowe mtataka na majina yetu