Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Hakuna neno nitakula.Tutakipasha kwa moto huku ukinywa taratibu juisi ya kichuriii"
Ila umeniacha kaka hapo juice ya Kichurii ndio juice gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Hakuna neno nitakula.Tutakipasha kwa moto huku ukinywa taratibu juisi ya kichuriii"
Usiforce undugu kiivyoWakwetu kumbe sengerema unapajua vizuri eeeh?
Asili yetu kiukoo ni geita kijiji kinaitwa ikulwa
Acha ujinga wewe my wife happyMkuu una impact Gan hadi we utafutwe
My ass India ya chooni labdaPune , India !
Ignored!My ass India ya chooni labda
Hapana.Wakwetu kumbe sengerema unapajua vizuri eeeh?
Asili yetu kiukoo ni geita kijiji kinaitwa ikulwa
Ahaàaaa ahaàaaa Hii utsifahamu tu dada ukija au ntakupa togwa baridi""Hahahaaa. Hakuna neno nitakula.
Ila umeniacha kaka hapo juice ya Kichurii ndio juice gani?
Sija-force undugu nimejaribu kuelezea tu mahali generation yetu ya mwanzo wa ukoo wetu imetokeaUsiforce undugu kiivyo
Ujambo jiraniDom.......area d
Mimi ni wa Area A DemissUjambo jirani
Naamini sisi sote ndugu how mimi niwe na undugu na wewe?Sija-force undugu nimejaribu kuelezea tu mahali generation yetu ya mwanzo wa ukoo wetu imetokea
Naamini sisi sote ndugu kwa maana ya utaifa. Hilo eneo la ibizabageni nimelisema kama jokes tu na nimeshangaa baadhi ya watu wanapajua,
Tumia akili
kabisa chief sio wanakuja na technique zao za kitoto kabisa[emoji23][emoji28][emoji23]Huku kwetu hakuna mitaa. Kwani kuna nini huko? Mbona mnatusakama sana? Ushauri: semeni mnamtafuta nani, inaweza kurahisisha!
[emoji23][emoji28][emoji23]Hahahaaa kijana mapovu iliyataka mwenyewe
Hahahahahaaaa.