Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Usiforce undugu kiivyo
Sija-force undugu nimejaribu kuelezea tu mahali generation yetu ya mwanzo wa ukoo wetu imetokea
Naamini sisi sote ndugu kwa maana ya utaifa. Hilo eneo la ibizabageni nimelisema kama jokes tu na nimeshangaa baadhi ya watu wanapajua,

Tumia akili
 
Naamini sisi sote ndugu how mimi niwe na undugu na wewe?

Maneno kibao ya kuomba undugu ili utapeli watu
FAKEN KABISA
 
173455.jpg
Hahahahahaaaa.

Hiyo sura ya Joseverest usitarajie akutajie mtaa anaoishi
 
Back
Top Bottom