Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Hawezi ujua huyo. Ila mdogo wangu huyu atakuwa na lake sio bure.
Kweli kabisa.

Kuna wengine walikuwa wanasambaza link ya group la Telegram la Kisiasa humu JF wanasema tujiunge ili tukajadili Siasa kule.

Ukizingatia Telegram tunajiunga kwa namba kama WhatsApp ambapo ukiangalia profile unaiona namba ya muhusika.

Nilipoliona hilo tangazo nikasema amefeli sana.
 
173455.jpg
 
Back
Top Bottom