Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Niambie ninja languHahaaaaaa
Shukranii karibu tenaSikujua kama ndio unaishi huko nikija huko tena ntakushtua
Kuna haja gani ya kuandika vya uongo??Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Wakwetu kumbe sengerema unapajua vizuri eeeh?Jirani na Nyambulikano?
Mkuu una impact Gan hadi we utafutweUmetumwa?
Tutakipasha kwa moto huku ukinywa taratibu juisi ya kichuriii"Jamaaani kaka. Kiporo tena?
Nakuja ila ntakula nyama tu.