Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Haya sasa mpendwa - wanakwambia umetumwa [emoji117][emoji23][emoji23]
 
Huku kwetu hakuna mitaa. Kwani kuna nini huko? Mbona mnatusakama sana? Ushauri: semeni mnamtafuta nani, inaweza kurahisisha!
 
Nimehamia hapa segerea karibu kabisa na kwa mkuu wa mjeshi mh! Venance mabeyo anaenitafuta aje tuonane
 
Kwa yeyote aliepo kazilamuhunda kibondo naomba tuonane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Kuna haja gani ya kuandika vya uongo??
Kama unataka watajie tu jina lako halisi na namba yakobya simu uwape. Unatuzingua tu hapa.
 
Back
Top Bottom