Sawa sawaHapana.
Asili yangu sio huko ila niliwahi kutembelea hapo Sengerema mjini na maeneo ya mission, mojawapo wa kijiji nilichokijua ni hicho (Nyambulukano)
Mm wa Area c karibu Rose gardenMimi ni wa Area A Demiss
Pale karibu na Ofisi za ABC?Mm wa Area c karibu Rose garden
Karibu Gaborone-SingaporeKuala lumpur Malaysia
YapPale karibu na Ofisi za ABC?
Mimi mwanadamu na wewe pia mwanadamu nadhani linaweza kuwa jibu tosha.Naamini sisi sote ndugu how mimi niwe na undugu na wewe?
Maneno kibao ya kuomba undugu ili utapeli watu
FAKEN KABISA
Andaa moja baridi hapo soon natia timu, nitaanza na huggy la nguvu kwanza kabla sijaketi
Utakuwepo lini free nije kukusalimu!?Karibu Gaborone-Singapore
Kwaiyo kama wote binadamu ndyo tuwe ndugu?Mimi mwanadamu na wewe pia mwanadamu nadhani linaweza kuwa jibu tosha.
Akili zako finyu sana
Mm nipo mtaa wa masika, kitongoji cha kichangani karibu na maliasili hapa kituo kipya nyantila ukitokea njia ya mbagara kwenda buza mbweni tegeta. Tujuane jamanMimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Niko free 24/365Utakuwepo lini free nije kukusalimu!?
Hahahha poapoa kamanda,.Niko free 24/365
Karibu sana
Karibu sana.Hahahha poapoa kamanda,.
Naona unataka kunijua kiundani nilivyo mnyama na mkatili tafadhali acha ubwege nazi ntabadilika hautoaminiKwaiyo kama wote binadamu ndyo tuwe ndugu?
Sitaki undugu na tapelians kama wewe
Kumbato [emoji5]Karibu sana.
Unapenda huggy au kupeana mikono?